mkutaano wa kuruhusu matumizi ya mbegu mpya unafanyika leo mjini Arusha katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya New Safari iliyopo mjini hapa
watafiti kutoka katika vituo mbalimbalia vya kilimo hapa nchini wamekutana na wamekuja na aina mbalimbali za aina za mbegu,
akifungua mkutano huo kwa niaba ya wazirir wa kilimo chakula na ushirka Bwana Geofrey Kirenga aliwataka wadau wa mkutano huo kuchangagia mada kwa uhakika na umakini zaidi ili kuruhusu aina hizo mpya za mbegu ambazo ni .