Thursday, August 25, 2011

WANAFUNZI MKOANI ARUSHA WAKIJIFUNZA MAMBO MENGI YA KILIMO KWA KUTAMBUA KUWA KILIMO NI SAYANS

kilimo kwanza kinatakiwa kurithishwa kwa watoto ili wabaini kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi .
Na ushirikishwaji wa watoto katika kilimo kutawafanya wasikione kilimo  kama ni adhabu na wakione kama kazi nyingine ambazo zinafanywa kwa mashariti ya kazi

No comments:

Post a Comment