Sunday, September 4, 2011

Mpunga Kuwa Mkombozi wa Uchumi












Shirika la utafiti na uzalishaji mpunga la Africanrice  limeingia mkataba wa kushirikiana na  Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika ili kuongeza uzalishaji wa mpunga  wa kutosha kwa matumizi ya watazania na baadae kukifanya kilimo  hicho kuwa cha kibiashara   dunian
 Akiongea na wandishi wa habari waziri wa kilimo chakula na Ushirika Mh. Jumanne maghembe  amesema shirika hilo kwa kushirikiana na wizara lengo kubwa ni kuhakikisha nchi inazalisha mpunga wa kutosha kwa matumizi ya ndani na kuuza nje na kuifanya Tanzania kuwa nchi moja wapo inayouuza mpunga nchini na  nje nchi na kuleta pesa za kigeni
 Aidha ushirikiano huo utaanzia katika uzalishaji wa mbegu za mpuga zenye ubora wa hali ya juu na utakao kidhi mahitaji ya soko ili zao hilo kuingia katika soko la dunia kwa alisema Mh.prof Magembe
Katika Sehemu ya pili mheshimiwa waziri alisema itakuwa kufanyia utafiti mbegu za mpunga za  aina mbalimbali na kuzifikisha katika vituo vya utafiti baadaye kuwafikie wakulima tayari kwa  kuzijaribu  ubora wake mashambani

Hata hivyo aliendela kusema kuwa Sehemu ya tatu ilijadiliwekwa na baina ya wizara na Africarice ni   kutengenza program ya kuongeza uzalisahaji wa mpunga hapa nchini ambayo itafangeza upatikanaji wa aina mbalimbali ya za mpunga na kufanya chi kupata chakula cha kutosha

Aidha shirika hilo litarajia baada ya mika  mitatu litazalisha tani million 27 za mpunga  badala ya tani lakin tisa ambazo Tanzania inazalisha kwa mwaka  mzima hivi sasa

Program hiyo itaendana na mafunzo ya muda mfupi kwa wataalamu wetu ili kurahisisha kuhamisha teknolijia hiyo kwa wakulima kiurahisi alisema wazira


No comments:

Post a Comment